Tafakari

Mhubiri wa Kimataifa



Mahubiri

Kuokoka

Ushauri

Maombi

Shuhuda

Maarifa


Kusudi la injili ya kimataifa

Changia injili ya kimataifa

Matangazo

Burudani za Injili

Kula ndiyo starehe pekee Mungu aliyokuachia mtu uliyeokoka ukimfuata Yesu kwa utii


Hakuna jema kupita kula na kunywa nakufurahi.Yote tunapata kutoka kwa Baba yake Yesu wa mbinguni. Ewe mtu uliyeokoka upendwaye na Mungu Yesu amekuokoa kutoka ktk maisha ya dhambi kama disco, ulevi, utumiaji wa madawa ya kulevya,Rushwa/ufisadi,Uzinzi,uvutaji wa sigara na starehe nyingine zisizo na Faida shetani alikuwa akiiba uchumi wako kwa upofu wako, usitende dhambi tena usirudie maisha yako ya dhambi yenye hukumu ndani yake mpende Yesu na maishake mapya aliyokupa mtendee haki kama mfalme wako wa milele yaani tii Neno lake na mafundisho yake(amri zake). Kula na kunywa ni sehemu ya Baraka zake ndiyo starehe aliyokuachia zingine zote kakuondolea kwa kuamua kumfuata mshukuru maana amekupa maisha yenye uzima na nuru amekundalia kupita hivyo ktk makao ya mbinguni hivyo ishi maisha matakatifu na usafi wa moyo utamwona na atakutakasa.



Burudika na miziki ya Injili
Efatha Masschoir-Wewe-ni-mfalme(Tanzania - Africa)
U MWEMA- ATOSHA KISSAVA(Tanzania - Africa)
KONGOLE YESU- Emmanuel Mgogo(Tanzania - Africa)
NIVUSHE - SIFAELI MWABUKA(Tanzania - Africa)
Ameniona - RIZIKI NAFTARY FT MADAME MARTHA(Tanzania - Africa)
Sweetie_sweetie! - ZABRON_SINGERS(Tanzania - Africa)
Efatha Masschoir-Yesu Amenitendea(Tanzania - Africa)
Efatha masschoir-Moyo wangu wafurahi(Tanzania - Africa)
Mlee Mtoto - Yohana_Antony(Tanzania - Africa)


Burudika na Video za Injili
INJILI (J.E.MWINGIRA)- Tanzania(Africa)
Jesus film swahili(Luke Gospel from the Holy bible) - Tanzania(Africa)
MHUBIRI ALIYEFIKA MBINGUNI NA KUPOKEA UNABII WA SIKU ZA MWISHO - Tanzania(Africa)
The history of Samson Translated in Swahili - Tanzania(Africa)
Jesus film swahili(John Gospel from the Holy bible) - Tanzania(Africa)
MHUBIRI WA KIMATAIFA NA MAHUBIRI YA KIMATAIFA
SINACH - I KNOW WHO I AM
SINACH - WAY MAKER
Efatha Masschoir-Wewe-ni-mfalme(Tanzania - Africa)
Pokea sifa Bwana - efatha masschoir(Tanzania - Africa)
Wewe ni Baba - efatha masschoir(Tanzania - Africa)
Mercy Masika-Shule yako(Tanzania - Africa)
Paul Clement ft Bella Kombo-Wewe ni mwema(Tanzania - Africa)


Jipumzishe na vitabu na magazeti ya injili
MH. WA KIMATAIFA(Neno La Mungu - 2003)Book
GAZETI LA INJILI LA NYAKATI
TENZI ZA ROHONI
AGANO JIPYA - BIBLIA TAKATIFU
GAZETI LA INJILI LA UPENDO
AGANO LA KALE - BIBLIA TAKATIFU
KITABU KWA WALIOKOKA WATU WA KIMATAIFA

                                                       Mark: 16: 14 - 18