Tafakari

Mhubiri wa Kimataifa



Mahubiri

Kuokoka

Ushauri

Maombi

Shuhuda

Maarifa

Vitabu kwa waliokoka



Kusudi la Injili ya Kimataifa

Changia Injili ya Kimataifa

Matangazo/Shukrani

Burudani za Injili


"...Enendeni ulimwenguni mwote mkaihubiri injili. Aaminiye na kubatizwa ataokoka na asiyeamini atahukumiwa. Ishara hizi zitafuatana nao waaminio kwa jina langu watatoa pepo,watanena kwa lugha mpya,wataweka mikono juu ya wagonjwa watapata afya, hata wakinywa kitu cha kufisha hakitawadhuru. " (soma:marko 16: 14- 18)

  • Je umeshatafakari maandiko matakatifu ya kitabu cha marko 16: 14 - 18 ya hapo juu yaliyomo ktk biblia yanayofunua ukweli wa kumtambua mkristo aliyemwamini Yesu mfufuka ni kwa ishara zinazojidhihirisha ndani yake au ktk maisha yake pale unapotumiwa na mungu au kuomba mbele za mungu.
  • Je umeamuaje juu ya maisha yako ya dhambi? kama umeamua kubadilika na unataka kuishi maisha ya haki kama ya Yesu na uko tayari kumpokea yeye ambaye ni jibu la kifo alifufuka ktk wafu baada ya siku tatu ya kufa kwake kwa kusulubiwa kwa ajili ya dhambi zako bofya kuokoka.
  • je bado hujaelewa baada ya kutafakari na unahitaji kuelewa? bofya mahubiri

                                                       Mark: 16: 14 - 18