/home/mhubiriw/public_html/maombi.php on line 25
" style="color:
Warning: Undefined array key "font" in /home/mhubiriw/public_html/maombi.php on line 26
">

Tafakari

Mhubiri wa Kimataifa



Mahubiri

Kuokoka

Ushauri

Maombi

Shuhuda

Maarifa



Kusudi la Injili ya Kimataifa

Changia Injili ya Kimataifa

Matangazo/Shukrani

Burudani za Injili

 


Laana:
Kama umeokoka kupitia tovuti yetu laana si sehemu yako, laana ni madhara ya dhambi kama kotokufanikiwa, magonjwa ,umaskini, mapepo, nguvu za giza n.k. Ukiwa unahitaji kuombewa na mhubiri wa Kimataifa Lameck Lister tuma ujumbe wako ktk simu ya mkono namba ; 0658601034; au baruapepe listlameck5@gmail.com;. Tafadhali usipige simu wewe tuma ujumbe tu mtumishi wa mungu atakuombea mbele za baba yake yesu na yesu.


Baraka:
kama umeokokoka kupitia tovutu yetu wewe ni mbarikiwa, yesu amekubariki kwa baraka zote za rohoni kupitia roho mtakatifu aliyekupa kwa karama alizokujazi ijapokuwa hujifahamu kuanzia sasa una mamlaka dhidi ya pepo na magonjwa kwa jina lake yesu unaweza kutumiwa na yesu kutoa pepo au kuponya mgonjwa kwa kumuwekea mkono maaana umevikwa haki ya yesu. Wewe uliyeokoka pokea baraka kutokwa kwa mtumishi wa mungu mhubiri wa kimataifa lameck lister , yesu wangu akubariki akupe;

  • Kazi wewe usiye na kazi;
  • Mtoto wewe uliye mgumba;
  • Elimu yenye ujuzi au taaluma pamoja kazi ya haki;
  • Ulinzi wa malaika dhidi ya nguvu za giza zisababishazo dhambi milele;
  • Baba yake yesu awe mwema kwako akupe mkeo aliyeokoka mwenzako wewe uliyejiandaa mwenye uzima na afya na mtiifu kwako;
  • Pia awe mwema akupe riziki yako kila siku na kubariki kazi mikono yako;
  • yesu Akupe afya siku zote ya kufanana naye;
  • Yesu wangu akupe wateja ktk biashara zako unazomiliki na kukuwezesha kufungua nyingine na nyingine.

Tunasoma ktk Yoh.14:13-15

"Nanyi mkiomba lolote hilo kwa jina langu nitalifanya ili Baba atukuzwe ndani ya Mwana. Mkiomba lolote kwa jina langu nitalifanya."

Amini yale uliyatuma ili tukuombee Yesu atakutendea. Baba yake Yesu akukumbuke.Usisahau kumrudishia mungu utukufu akikutendea.

                                                       Mark: 16: 14 - 18