/home/mhubiriw/public_html/mahubiri.php on line 25
" style="color:
Warning: Undefined array key "font" in /home/mhubiriw/public_html/mahubiri.php on line 26
">

Tafakari

Mhubiri wa Kimataifa



Mahubiri

Kuokoka

Ushauri

Maombi

Shuhuda

Maarifa



Kusudi la Injili ya Kimataifa

Changia Injili ya Kimataifa

Matangazo/Shukrani

Burudani za Injili

 

Today's International Gospel Preaching         06-10-2024

Tubuni enyi wenye dhambi watu wa kimataifa.Acheni kutenda dhambi mkatende haki maana ukiishi kwa kutenda dhambi mf: kupokea au kutoa rushwa iko hukumu nayo ni moto wa kuzimu kisha jehanamu.Ni yesu pekee alisulubiwa na kufa kwa ajili ya dhambi za wanadamu zipate kuondolewa kwa damu yake mbali na kusamehe.Amwamwamiye yeye anapata kupatanishwa na baba yake yaani mungu kwa kusamehewa na kuondolewa dhambi zake.Yesu humpa msaidizi yaani roho mtakatifu kila amwaminiye ili amwongeze ktk kweli asitende dhambi atende haki.Je unamwamini yesu? uko tayari kuishi maisha ya toba yaani ya kuikataa dhambi sikuzote za maisha yako kama ndiyo utaokoka. Fuatisha sala hii ukiwa unataka kuokoka bofya kuokoka.


;

International Gospel Preaching

Ukiwa unaamini Yesu ni Mfalme,Bwana na mwokozi wa maisha yako na uko tayari kumpa maisha yako yote yaliyobaki baada ya kuishi maisha ya dhambi sasa u tayari kubadilika, ayatumie Yesu kwa kusudi lake na u tayari kumfuata na kumtumikia yaani uko tayari kuzaliwa mara ya pili mbinguni baaada ya kuzaliwa duniani uko tayari kwa kuokoka bofya Kuokoka

International Gospel Preaching video

Ukiwa unaaamini Yesu ni Mfalme,Bwana na mwokozi wa maisha yako na umetazama mahubiri kwa njia ya video na kukiri sala ya kuokoka kwa imani na unataka ushauri zaidi mbali na ule uliopata ktk video juu ya huduma au makanisa ya kiroho ya waliokoka unayopaswa kwenda na kushirikiana nao ktk nchi yako na bara lako tazama haya kama yapo bofya Ushauri kwa waliokoka

                                                       Mark: 16: 14 - 18