/home/mhubiriw/public_html/maarifa.php on line 25
" style="color:
Warning: Undefined array key "font" in /home/mhubiriw/public_html/maarifa.php on line 26
">

Tafakari

Mhubiri wa Kimataifa



Mahubiri

Kuokoka

Ushauri

Maombi

Shuhuda

Maarifa



Kusudi la Injili ya Kimataifa

Changia Injili ya Kimataifa

Matangazo/Shukrani

Burudani za Injili

 

Maarifa ya mungu kuhusu maisha kwa watu wa kimataifa --->> (Kitabu Mhubiri-Biblia)

Ukiwa umeokoka kupitia tovuti ujue yesu amekuita si akuokoe na maisha ya dhambi bali pia akutajilishe utajiri utokao kwake ambao utakupa kumfurahia na kumtumikia kupitia huo kwa kuchangia kazi yake yaani injili.Ikiwa u utajiri azidi kukutajirisha na kama una maisha ya kawaida akupe utajiri.Utaupata utajiri huo kwa kuliitia jina la yesu au kuomba kwa baba yake yaani mungu. ewe mtu wa kimataifa uliyeokoka mpango wa mungu ni azidi kukutajirisha ili injili ipate kuenea duniani kote kwa waliokusudiwa kama wewe.

Kuokoka

Ukiwa unaaamini Yesu ni Mfalme,Bwana na mwokozi wa maisha yako na uko tayari kumpa maisha yako yote yalibaki baada ya kuishi maisha ya dhambi sasa u tayari kubadilika aayatumie Yesu kwa kusudi lake na utayari kumfuta na kumtumikia yaani uko tayari kuzaliwa mara ya pili mbinguni baaada ya kuzaliwa duniani uko tayari kwa kuokoka bofya Kuokoka

Ushauri kwa aliyeokoka

Ukiwa unaaamini Yesu ni Mfalme,Bwana na mwokozi wa maisha yako na umetazama mahubiri kwa njia ya video na kukiri sala ya kuokoka kwa imani na unataka ushauri zaidi mbali na ule uliopata ktk video juu ya huduma au makanisa ya kiroho ya waliokoka unayopaswa kwenda na kushirikiana nao ktk nchi yako na bara lako tazama haya kama yapo bofya Ushauri kwa waliokoka

                                                       Mark: 16: 14 - 18