/home/mhubiriw/public_html/ushauri.php on line 24
" style="color:
Warning: Undefined array key "font" in /home/mhubiriw/public_html/ushauri.php on line 25
">

Tafakari

Mhubiri wa Kimataifa



Mahubiri

Kuokoka

Ushauri

Maombi

Shuhuda

Maarifa



Kusudi la Injili ya Kimataifa

Changia Injili ya Kimataifa

Matangazo/Shukrani

Burudani za Injili

 


Kama umeokoka kupitia tovutu yetu kwa kusoma mahubiri ya injili ya kimataifa na kusema sala ya ya kuokoka. Nina kushauri kutafuta mafundisho ya Yesu na kushirikiana na makanisa ya waliokokoka au huduma za kiroho zilizo ktk nchi yako na bara lako. Unawezakwenda ktk makanisa ya waliokoka yafuatayo au huduma za kiroho za waliokoka zifuatazo:

CHURCH/MINISTRY NAMEDOMAIN NAME OR URLCOUNTRYCONTINENT
bennyhinn ministryhttps://www.bennyhinn.orgAmericaNorthen America
Efatha churchhttps://www.efathachurch.orgTanzaniaAfrica
ufufuo na uzima churchhttps://ufufuonauzima.orgTanzaniaAfrica
Manahttp://mwakasege.orgTanzaniaAfrica

Kama umetazama tovuti zao hapo juu ni makanisa au huduma za kiroho zipo ktk nchi yako nenda kuabudu na kushirikiana nao upate kukua kiroho ktk kumfahamu yesu na uweza wake.Lakini kama hazipo ktk nchi yako, tafuta kanisa la waliokoka au huduma ya kiroho ya waliokoka iliyopo ktk nchi yako na ushirikiane nao kwa ibada na kujifunza mafundisho ya Yesu Kristo utawatambua waamini wake kwa ishara zilizoandikwa ktk marko: 16:16 ktk kitabu cha biblia

                                                       Mark: 16: 14 - 18