/home/mhubiriw/public_html/kristo.php on line 23
" style="color:
Warning: Undefined array key "font" in /home/mhubiriw/public_html/kristo.php on line 24
">

Habari njema

Tubuni

Ufalme wa yesu

Yesu na ufufuo

Yesu ndiye kristo

Mche mungu

Ubatizo wa maji mengi

Yesu ni bwana

Watumishi Yesu

 


"Filipo akatelemka akaingia mji wa Samaria, akawahubiri kristo..... " . Matendo ya Mitume: 8:5 - 8

Ktk maandiko ya hapo juu Filipo anamhubiri Yesu ndiye kristo kwa wasamaria. Leo ni kwako sikiliza enyi wafanyakazi wa kimataifa yesu ndiye kristo , yesu ndiye kristo kwenu narudia yesu ndiye kristo kwenu wafanyakazi wa kimatataifa huyo amejaa nguvu za roho mtakatifu pasipo ukomo. Ndani ya nguvu alizojaa ya yesu kuna majibu ya mahitaji yako. kuna uweza wa kukuokoa kutoka ktk kumilikiwa na nguvu za giza ni kweli wewe ni mfanyabiashara wa kimataifa ila unatumia nguvu za giza kupata mafanikio uliyonayo yesu akuita njoo akubadilishe naye atakupa za baba yake za kupata utajiri achana na maisha ya giza maana ni chukizo kwa aliyekuuumba,Yesu ndiye kristo wewe usiweza kula kwa sababu ya vidonda vya tumbo, alegi, presssure au kisukari n.k yeye anaponya na kusamehe dhambi zako au maovu ZAB 103:3, yesu ndiye kristo kwako mfanyakazi wa kimataifa uliyepooza kiungo kimoja au vyote, yesu ndiye kristo wewe unayeteswa na mapepo ya anasa kama TV , disko ukimwamini hutatayari anayo amri ya kutoa pepo wachafu wa kila aina.

Huyo ni kristo wa ukweli maana ndiye aliyetabiriwa na manabii kuwa angezaliwa na kuishi na wanadamu kisha kusulubiwa na kufa kwa ajili ya dhambi za wanadamu zipate kuondolewa na laana yake pia kwa kufufuka kwake na kuwabariki wamwaminio.Hayo yalithibitika na kutukia kweli na ni kweli yesu amefufuka anaishi mpakaa leo, Mimi mhubiri wa kimataifa niliyeandika haya nalimwona Bwana Yesu Kwenye miaka kati ya 2005 - 2007. Nasema haya kuishuhudia kile kilichoandikwa ktk Marko : 16 kwa habari ya yesu ni kweli yesu anaendelelea kuishi tangu siku ile afufuke ktk wafu. Hivyo ameshinda kifo na mauti ni jibu la kifo kwao wamtumanio .

Ikiwa unaamini yesu alisulubiwa na kufa kwa ajili ya wenye dhambi wa kimataifa kama wewe wapate kuokoka na maisha ya dhambi maisha ya kunuka rushwa , ufisadi, matukano, wanawake wenye mitego, anasa za dunia na umeamua leo kumgeukia yesu na kumfuata kwa kuachana na maisha ya dhambi na u tayari kupokea maisha ya uzima na haki ya yesu yaliyo huru mbali na dhambi na kuachana na ya kwako ya dhambi bofya Kuokoka

<||---kurudi nyuma <<<||>>> kuendelea mbele---||>

                                                       Mark: 16: 14 - 18