/home/mhubiriw/public_html/ubatizo.php on line 23
" style="color:
Warning: Undefined array key "font" in /home/mhubiriw/public_html/ubatizo.php on line 24
">

Habari njema

Tubuni

Ufalme wa yesu

Yesu na ufufuo

Yesu ndiye kristo

Mche mungu

Ubatizo wa maji mengi

Yesu ni bwana

Watumishi Yesu

 


" Yesu akaja kwao, akasema nao, akawaambia, Nimepewa mamlaka yote mbinguni na duniani. Basi, enendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu; na kuwafundisha kuyashika yote niliyowaamuru ninyi; na tazama, mimi nipo pamoja nanyi siku zote, hata ukamilifu wa daha ". (Math 28:18-20)

Batizweni enyi wafanyakazi wa kimataifa, batizweni kwa jina la bwana Yesu . mzikwe naye na kufufuka pamoja naye kwa njia ya huo ubatizo ambao ni wa maji mengi kama yesu alivyobatizwa kwa maji mengi na maana ya ubatizo ilivyo ni kutosa au kuzamisha ndani ya maji.

Ubatizo huo wa maji mengi ni ubatizo wa toba ktk jina la bwana yesu. wafanyakazi wote wa kimataifa walio tayari kutubu na kupokea ubatizo wa maji mengi ndio wanaosamehewa dhambi zao na kubadilishwa maisha yao na kuwa mapya na bwana yesu. Ubatizo wa maji mengi ni mojawapo ya hatua muhimu ktk kuokoka au kuzaliwa mbinguni yaani kuzaliwa kwa mara ya pili ktk roho mtu ambaye haamini ubatizo wa maji mengi hastaili kuokoka maana yu kinyume cha yesu kristo na maneno yake kama asemavyo ktk Math 28: 18 - 20

Ubatizo ni ishara ya kile mungu ametenda ndani yako baada ya kutubu , ni kuoshwa dhambi zako rushwa, ufisadi, ulevi, uzinzi, matukano, uvivu n.k ni mfano wa uchafu ktk mwili unapobatiwa ni kama mtu aliyeoga ili kujitoa uchafu asipate kunuka, hakuna mtu anayependa harufu mbaya dhambi inatoa harufu mbaya unahiji kuoga ee mfanyakazi wa kimataifa unahitaji kutubu na kubatizwa kwa kwa jina la bwana yesu. Luka 24:46- 48. Wako watu husema wanamfuata yesu ila hawaamini ubatizo wa maji mengi hivyo hawamfuati bwana yesu kikamilifu kama yeye tunayemfuata alibatizwa kwa maji mengi huu wa wa maji machahe umetoka wapi? kama si ktk hekima ya wanadamu na maagizo yao hivyo wakatangua maandiko.

Ikiwa unaamini yesu alisulubiwa na kufa kwa ajili ya wenye dhambi wa kimataifa kama wewe wapate kuokoka na maisha ya dhambi maisha ya kunuka rushwa , ufisadi, matukano, wanawake wenye mitego, anasa za dunia na umeamua leo kumgeukia yesu na kumfuata kwa kuachana na maisha ya dhambi na u tayari kupokea maisha ya uzima na haki ya yesu yaliyo huru mbali na dhambi na kuachana na ya kwako ya dhambi bofya Kuokoka

<||---kurudi nyuma <<<||>>> kuendelea mbele---||>

                                                       Mark: 16: 14 - 18