/home/mhubiriw/public_html/mche.php on line 23
" style="color:
Warning: Undefined array key "font" in /home/mhubiriw/public_html/mche.php on line 24
">

Habari njema

Tubuni

Ufalme wa yesu

Yesu na ufufuo

Yesu ndiye kristo

Mche mungu

Ubatizo wa maji mengi

Yesu ni bwana

Watumishi Yesu

Burudani za Injili

 


" Kisha nikaona malaika mwingine, akiruka katikati ya mbingu, mwenye Injili ya milele, awahubiri hao wakaao juu ya nchi, na kila taifa na kabila na lugha na jamaa, akasema kwa sauti kuu, Mcheni Mungu, na kumtukuza, kwa maana saa ya hukumu yake imekuja. Msujudieni yeye aliyezifanya mbingu na nchi na bahari na chemchemi za maji. (ufunuo 14:6-7) "

Mcheni mungu enyi wafanyakazi wa kimataifa , Mcheni mungu wanaume kwa wanawake, chukieni uovu yaani chukieni kiburi, majivuno na njia mbovu au mbaya. ya kufikia mema. Chukieni kupokea rushwa , kuzivunja amri za mungu, uvivu , umaskini , magonjwa, matukano na makosa pia msiyazoee. Maana uovu ni chukizo kwa bwana yesu na baba yake pia ambaye amekuumba wewe.

Yesu alikufa kwa ajili ya wenye dhambi na waovu apate kuwapatanisha na baba yake ambaye ndiye mungu aliyekuumba wewe mfanyakazi wa kimataifa. Hivyo anakuita upatane naye kwa kuamini yeye alikupenda sana wewe hata akamtoa mwanawe yesu afe ili wewe upate kuokolewa kutoka ktk dhambi au maisha ya dhambi akupe maisha ya haki ya mwanaye Yesu aliyeishi bila kutenda dhambi kwa kufanya mapenzi ya mungu yaani Baba yake.

Ikiwa unaamini Yesu alisulubiwa na kufa kwa ajili ya wenye dhambi wa kimataifa kama wewe wapate kuokoka na maisha ya dhambi maisha ya kunuka rushwa , ufisadi, matukano, wanawake wenye mitego, anasa za duniaa na umeamua leo kumgeukia yesu na kumfuata kwa kuachana na maisha ya dhambi na u tayari kupokea maisha ya uzima na haki ya Yesu yaliyo huru mbali na dhambi na kuachana na ya kwako ya dhambi bofya Kuokoka

<||---kurudi nyuma <<<||>>> kuendelea mbele---||>

                                                       Mark: 16: 14 - 18