/home/mhubiriw/public_html/tubu.php on line 23
" style="color:
Warning: Undefined array key "font" in /home/mhubiriw/public_html/tubu.php on line 24
">

Habari njema

Tubuni

Ufalme wa yesu

Yesu na ufufuo

Yesu ndiye kristo

Mche mungu

Ubatizo wa maji mengi

Yesu ni bwana

Watumishi Yesu

 


"...Nawaambia, Sivyo; lakini msipotubu, ninyi nyote mtaangamia vivyo hivyo...". (Luk 13:1-5)

Tubuni enyi wafanyakazi wa kimataifa wenye dhambi acheni rushwa , anasa za dunia kama utumiaji wa pombe, madawa ya kulevya disko n.k.......Acheni uvivuvi, dhuluma, uzinzi na matukano kwa wafanyakazi wenzenu. Acheni uchafu muwe wasafi makazini. acheni kuchelewa makazini fanyeni kazi zenu kwa wakati acheni uzivunja amri za mungu, acheni maovu enye wenye pepo wafanyakazi wa imataifa, acheni ufisadi geukeni mrudie baba wa bwana wetu yesu kristo leo kama mtasikia sauti yake msifanye migumu mioyo yenu tubuni kwa jina la bwana yesu usifikiri nduguyo au jirani zako waliowahi kuangamia na kufa kwa magonjwa au ajali walikuwa wenye dhambi kuliko wewe hata wewe usipotubu utaangamia pia.

Ikiwa unaamini yesu alisulubiwa na kufa kwa ajili ya wenye dhambi wafanyakazi kimataifa kama wewe wapate kutubu na umeamua leo kumgeukia Yesu na kumfuata kwa kuachana na maisha ya dhambi na u tayari kupokea maisha ya uzima na haki ya Yesu yaliyo huru mbali na dhambi na kuachana na ya kwako ya dhambi bofya Kuokoka

<||---kurudi nyuma <<<||>>> kuendelea mbele---||>

                                                       Mark: 16: 14 - 18