/home/mhubiriw/public_html/ufalme.php on line 23
" style="color:
Warning: Undefined array key "font" in /home/mhubiriw/public_html/ufalme.php on line 24
">

Habari njema

Tubuni

Ufalme wa yesu

Yesu na ufufuo

Yesu ndiye kristo

Mche mungu

Ubatizo wa maji mengi

Yesu ni bwana

Watumishi Yesu

 


"Waponyeni wagonjwa waliomo, waambieni, Ufalme wa Mungu umewakaribia". (Luk 10:9)

Ufalme wa mungu umekaribia enyi wafanyakazi wa kimataifa!!! ...Ufalme wa mungu umekaribia enyi wafanyakazi wa kimataifa!!!......Ufalme wa mungu umekaribia enyi wafanyakazi wa kimataifa!!!.... mliowagonjwa hasa homa , safura, kupooza kiungo kimoja au vyote na wakoma. Yesu anaponya ajabu.....!!!. ufalme wa mungu umekaribia enyi viwete ambao ni wafanyakazi wa kimataifa yesu anaponya , ufalme wa mungu umekaribia .eee!! mfanyakazi wa kimataifa usomapo tovutu hii pengine una msiba nyumbani au wa nduguyo ambaye bado hajazikwa yesu anafufua ukiamini nduguyo utamkuta amefufuka.

Huo ndio ufalme wa mungu usiopenda uonewe na shetani au ibilisi ukiukaribisha ktk maisha yako mungu baba wa bwana yesu atakumiliki kwa njia ya yesu na roho wake mtakatifu na kukujazi furaha , amani ya ufufuo wa yesu na upendo wake nawe atakubadilisha na kufanya kazi nawe.Na zaidi hatakuveka haki ya mwanaye yesu ya kuwa mwana mbele zake na mrithi wa mema yake.

Ikiwa unaamini yesu alisulubiwa na kufa kwa ajili ya wenye dhambi wa kimataifa kama wewe wapate kuupokea ufalme wa baba yake na umeamua leo kumgeukia yesu na kumfuata kwa kuachana na maisha ya dhambi na u tayari kupokea maisha ya uzima na haki ya Yesu yaliyo huru mbali na dhambi na kuachana na ya kwako ya dhambi bofya Kuokoka

<||---kurudi nyuma <<<||>>> kuendelea mbele---||>

                                                       Mark: 16: 14 - 18