/home/mhubiriw/public_html/ufufuo.php on line 23
" style="color:
Warning: Undefined array key "font" in /home/mhubiriw/public_html/ufufuo.php on line 24
">

Habari njema

Tubuni

Ufalme wa yesu

Yesu na ufufuo

Yesu ndiye kristo

Mche mungu

Ubatizo wa maji mengi

Yesu ni bwana

Watumishi Yesu

 


" Akawaambia, Enendeni ulimwenguni mwote, mkaihubiri Injili kwa kila kiumbe." . Marko: 16:15

Ktk maandiko ya hapo juu Yesu anatuma mitume kwenda kuhubiri injili baada ya kufufuka kwake. Tega sikio usikie habari njema ee mfanyakazi wa kimataifa yesu amefufuka ameshinda kifo ambacho asili yake ni dhambi kama vile rushwa , ufisadi, anasa kama pombe madawa ya kulevya na miziki ya kipumbavu ya dunia. bila kusahau uzinzi n.k . Ni yesu pekee tangu kuzaliwa mpaka alipokufa kwa kusulubiwa hakutenda dhambi ndiyo maana alipokufa alifufuka kwa sababu hana dhambi na hajawi kutokea mtu wa aina hii ktk historia ya vizazi vya dunia na hatatokea ni yeye tu peke yake mwingine.

Hivyo kwa kule kufufuka kwake anakuhakikishia mfanyakazi wa kimataifa ukimuamini maisha ya milele yaliyokuwa hayako ndani yako kwa sababu ya dhambi hayo atakupa na kukujaza uzima wake tele maana Yesu amejaa uzima tele au maisha tele ya kiungu anakutafuta akugawie.

Sikia huyu yesu hatakunyima roho mtakatifu atakupa roho ya baba yake itakuja na kukaa na kuishi ndani yako na utafanana naye na baba yake ambaye ndiye aliyekuumba kichwa chako mpende naye akupende.

Ikiwa unaamini Yesu alisulubiwa na kufa kwa ajili ya wenye dhambi wa kimataifa kama wewe wapate kuokoka na maisha ya dhambi maisha ya kunuka rushwa , ufisadi, matukano, wanawake wenye mitego, anasa za duniaa na umeamua leo kumgeukia yesu na kumfuata kwa kuachana na maisha ya dhambi na u tayari kupokea maisha ya uzima na haki ya yesu yaliyo huru mbali na dhambi na kuachana na ya kwako ya dhambi bofya Kuokoka

<||---kurudi nyuma <<<||>>> kuendelea mbele---||>

                                                       Mark: 16: 14 - 18